Ibada Lyrics ibada_lyrics Afrika yote yakusifu (Africa Praises God)

Afrika yote yakusifu (Africa Praises God)

Lyrics Of The Song Afrika yote yakusifu (Africa Praises God)

Song ID 3358

afrika ni wakati wako afrika yote yakusifu afrika yote yakusifu wasomali na wakongo warwanda na waganda afrika yote yakusifu afrika yote yakusifu wanaijeria zimbabwe na liberia wamoroko kwa makofi na nderemo kwa kucheza na shangwe kwa makofi na nderemo kwa kucheza na shangwe hapa kenya Yesu twakusifu hapa kenya Yesu twakusifu wakikuyu na wakamba wajaluo na waluhya hapa kenya Yesu twakusifu hapa kenya Yesu twakusifu wamasai wameru wapokomo mijikenda afrika yote yakusifu afrika yote yakusifu madagascar afrika kusini senegali namibia afrika yote yakusifu afrika yote yakusifu tanzania burundi angola komoro hapa kenya Yesu twakusifu hapa kenya Yesu twakusifu kikuyu kikamba kijaluo kimasai praise him with nyatiti praise him with kayamba praise him with watete africa praises you God

Afrika yote yakusifu (Africa Praises God).mp3

Afrika yote yakusifu (Africa Praises God).video.mp4 YouTube

 

Hits: 4

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post