Ibada Lyrics ibada_lyrics AMENIFANYIA AMANI

AMENIFANYIA AMANI

Lyrics Of The Song AMENIFANYIA AMANI

Song ID 3923

amenifanyia amani amenifanyia amani kaondoa huzuni yangu kanifanyia amani ni japo pita kwenye bonde la mauti sitaogopa maana wewe uko nami gongo lako na fimbo yako eh Bwana vyanifariji wanifanyia amani umesema ya kwamba hutaniacha sababu mimi ni mboni ya jicho lako Bwana wanitazama asubuhi mchana jioni eeh Bwana kweli Mungu wa baraka

AMENIFANYIA AMANI.mp3

AMENIFANYIA AMANI.video.mp4 YouTube

 

Hits: 4

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post