Ibada Lyrics ibada_lyrics Bwana Mungu Nakuomba Sasa

Bwana Mungu Nakuomba Sasa

Lyrics Of The Song Bwana Mungu Nakuomba Sasa

Song ID 2563

Bwana Mungu nakuomba sasa unifanye kuwa kama upendavyo maana wewe ni muweza wa yote unifanye kuwa kama upendavyo nifinyange nifinyange unifanye kuwa kama upendavyo niongo ze niongoze unifanye kuwa kama upendavyo nibariki nibariki unifanye kuwa kama upendavyo

Bwana Mungu Nakuomba Sasa.mp3

Bwana Mungu Nakuomba Sasa.video.mp4 YouTube

 

Hits: 2

Leave a Reply

Related Post