Ibada Lyrics ibada_lyrics Bwana Yesu Atakuja

Bwana Yesu Atakuja

Lyrics Of The Song Bwana Yesu Atakuja

Song ID 3300

Bwana Yesu atakuja vumilia omba ukiwa na haja vumilia mbingunu Mungu aliko mwamini mwokozi wako nawe utafika huko vumilia ikikucheka dunia vumilia mwovu atakuvizia vumilia hataweza kukushinda Bwana Yesu akulinda roho yako akupenda vumilia na ukiwa hatarini vumilia dhiki nyingi duniani vumilia vyatupasa kuyakuta majaribu na matata na Bwana hakutuficha vumilia adui wakikutana vumilia na ndugu wakikukana vumilia zote zote zitakwisha nguvu zote za kutisha Mungu chini atashusha vumilia moyoni una majonzi vumilia ndiyo bonde ya machozi vumilia hima tutaandamana kwetu mbinguni na Bwana tena hatutaachana vumilia

Bwana Yesu Atakuja.mp3

Bwana Yesu Atakuja.video.mp4 YouTube

 

Hits: 12

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post