Ibada Lyrics ibada_lyrics Futa Machozi

Futa Machozi

Lyrics Of The Song Futa Machozi

Song ID 3687

nalimngoja Bwana kwa zaburi akaniinamia akanisikia kilio changu akanipandisha toka shimo shimo la uharibifu akanisimamisha Bwana toka udongo wa utelezi akasimamisha miguu yako mwambani Bwana wangu wee akazisimamisha hatua zangu akazipanga sawa sawa ili nimtumikie ee eh ndio sifa zake zimekaa midomoni mwangu ameweka wimbo mpya midomoni mwangu ndio maana ninaamba sifa zako Mungu wangu ndio maana kila siku nashuhudia wema wake Bwana futa futa machozi usilie tena kibali kiko juu yako simama kama shujaa ushambulie malango sayuni imekukubali hatutaki kulia lia sana hatutaki ukristo wa kulilia sana sisi ni washindi hata tupipitie moto haitatuchoma hata tukitupwa baharini samaki haitatumaliza hata tupitie maji haitatukarigisha maaana sisi ni washindi mkristo simama kama shujaa ushambilie malango umepewa mamlaka na kibali mbona umeonelewa na adui kiasi hii ebu simama kama shujaa mpingeni adui naye atawakimbia sisi ni washindi zaidi ya washindi lazima tujiamini lazima kujitwaa tumepewa mamlaka ya kukanyaga nyoka na yule ibilisi na kila ufalme wa ulimwengu wa giza hazina mamlaka juu yeu

Futa Machozi.mp3

Futa Machozi.video.mp4 YouTube

 

Hits: 7

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post