Ibada Lyrics ibada_lyrics Isingelikuwa ni Wewe

Isingelikuwa ni Wewe

Lyrics Of The Song Isingelikuwa ni Wewe

Song ID 3896

baba yetu wa mbinguni yanipasa nishukuru isingelikuwa ni wewe singelipata wokovu Mungu wetu wa mbinguni yanipata nishukuru usingemtuma mwanao nisingelipata wovu asante Bwana isingelikuwa ni wewe nisingelipata wokovu isingekuwa yahweh isingelikuwa ni wewe nisingelipata wokovu

Isingelikuwa ni Wewe.mp3

Isingelikuwa ni Wewe.video.mp4 YouTube

 

Hits: 12

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post