Ibada Lyrics ibada_lyrics Itengenezeni Njia Ya Bwana

Itengenezeni Njia Ya Bwana

Lyrics Of The Song Itengenezeni Njia Ya Bwana

Song ID 3760

itengenezeni njia ya Bwana Bwana apite alto tenor mapito yake yanyosheni mapito ya Mungu wetu aingie tazama namtuma mjumbe wangu mbele ya uso wako atakayeitengeneza njia yako sauti ya mtu aliyaye nyikani inasema x2 sauti ya mtu aliyaye aliyaye nyikani inasema x2 ondoka e yerusalemu usimame juu tazama uione furaha inayokujia kutoka kwake Mungu Mungu wako x2 inayokujia inakuja kutoka kwake Mungu Mungu wako x2 yajazeni yale mabonde yote yashusheni milima panyosheni na pale palipo potoka tayarisheni njia na mapito ya Bwana aingie x2 tayarisheni njia tayarisha na mapito ya Bwana aingie x2 na watu wote wenye mwili wataona wokovu wataona wokovu wake Mungu wetu kwa sababu yeye atakayetujia ni mwokozi x2 kwa sababu yeye kwa sababu atakayetujia ni mwokozi x2

Itengenezeni Njia Ya Bwana.mp3

Itengenezeni Njia Ya Bwana.video.mp4 YouTube

 

Hits: 5

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post