Ibada Lyrics ibada_lyrics Kama Sio Wewe

Kama Sio Wewe

Lyrics Of The Song Kama Sio Wewe

Song ID 3312

kama sio wewe ningekuwa wapi mimi kama sio wewe ningekuwa wapi mimi ningekuwa wapi mimi kama sio wewe ningekuwa wapi mimi kama sio wewe ningekuwa wapi mimi ningekuwa wapi mimi umejawa na rehema na nehema tele kwa wema wako Bwana leo nimeokolewa kwa huruma zako nyingi mimi nimesamehewa na kwa pendo lako kuu mimi nimekombolewa nasema umejawa na rehema na nehema tele shetani alionea Yesu ukanitafuta ukaniokea wewe kwa rehema na nehema ukanirejesha kwako ukaniita mwanao kwa neema zako na rehema mimi nimesamehewa kama sio wewe ningeitwa nani leo ningekuwa sina jina ningekuwa sina maana lakini kwa kifo chako mimi nimepata kuwa na jina ninaitwa mwana wa Mungu ninaitwa mtakatifu asante Yesu kwa fadhili zako nyingi asante baba kwa upendo wako nyingi umenisamehe mimi umeniosha ukanifanya wako asante were it not for you where could i be psalms 124 1 had it not been the Lord who was on our side

Kama Sio Wewe.mp3

Kama Sio Wewe.video.mp4 YouTube

 

Hits: 10

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post