Ibada Lyrics ibada_lyrics Maneno ya kinywa changu

Maneno ya kinywa changu

Lyrics Of The Song Maneno ya kinywa changu

Song ID 3563

maneno ya kinywa changu wacha yatawaliwe na wewe Bwana maneno ya kinywa changu wacha yatawaliwe na wewe Bwana ninaponena juu ya maisha yangu ninene ya baraka si kulaani nimebarikiwa imeinuliwa maana kunayo nguvu katika maneno ingawaje hali nilioko ni ya kuhuzunisha na kuhaNgaisha nitabiri mema tena mazuri maana kunayo nguvukatika maneno maneno ya kinywa changu wacha yatawaliwe na wewe Bwana maneno ya kinywa changu wacha yatawaliwe na wewe Bwana kazi ya mikono yangu wacha ibarikiwe na wewe Bwana niamkapo na nilalapo wacha nilindwe na wewe Bwana Bwana naomba yote nisemayo uwe umenipa ka yawe baraka uimbaji wangu tawaliwe nawe ninene yote yawe baraka

Maneno ya kinywa changu.mp3

Maneno ya kinywa changu.video.mp4 YouTube

 

Hits: 4

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post