Ibada Lyrics ibada_lyrics Mapenzi ya Milele

Mapenzi ya Milele

Lyrics Of The Song Mapenzi ya Milele

Song ID 3636

mpenzi ya milele ndio yanipendayo yalinipenda mbele sina fahamu nayo sasa amani yake tele rohoni mwangu ni mimi kuwa wake na yeye kuwa wangu ni mimi kuwa wake nayeye kuwa wangu mbingu zinangara juu na nchi nayo vivyo mcho ya dunia tu hayajaona hivyo nyuni huimba sana maua yana rangi ni kumjua Bwana na pendo zake nyingi ni kumjua Bwana na pendo zake nyingi mambo mengi maovu nayo yenye kutisha sasa hayana nguvu si yenye kugutusha ni mkononi mwake nalindwa salamani ninajua ni wake ni wake mapenzini ninajua ni wake niwakw mapenzini

Mapenzi ya Milele.mp3

Mapenzi ya Milele.video.mp4 YouTube

 

Hits: 7

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post