Mpaka Lini

Lyrics Of The Song Mpaka Lini

Song ID 3399

jana nilimkuta kijana mmoja amejiinamia amekata tamaa mkono wa kushoto ameshika kilevi na huku wa kulia msokoto wa bangi nikamuuliza nini uko hivi amekataa tamaa aliniangalia nikaona kitu machoni mwake alikuwa mtu wa huzuni nyingi nikamwambia kwa nini unanungunika mpendwa hivi unajua Yesu anakupenda alichonijibu ah alichonieleza kinawatesa wengi yani kama ni matatizo nahisi sasa mimi ndo nimeamka nayo na nashinda nayo na nitalala nayo na kesho asubuhi nitaamka nayo aah Mungu kwa kweli Mungu wangu hapana akaniambia huwa nakumbuka siku niliyozaliwa nilimlaumu mama pengine ndio chanzo cha haya yote najiuliza nilimkosea nini Mungu hata iwe hivi mama yangu mjane nyumba yetu kila siku mikosi aa why pindi nipo shuleni nafukuzwa bila sababu yoyote lakini kikubwa nahisi itakuwa umasikini nikasema why labda ningekuwa mvuvi lakini bado ni ugumu wa maisha ndugu zangu niliowategemea wangenikumbuka hawataki hata kuniona ona wadogo zangu wanafanikiwa mimi ni masikini why hata na mke wangu hashiki ujauzito why hospitali nimemaliza waganga nimemaliza lakini sioni hata dalili huyo ni Mungu wenu labda anawasikia ninyi tu sisi hatujali nikasema labda niokoke nimpokee Yesu shida zitaniisha nitakuwa huru kabisa cha ajabu wapendwa hawaishi kunisema why nimeteseka sana nachohisi labda milango yangu ya baraka imefungwa why kama si hivyo basi nina laana ya ukoo mbona matatizo na mimi na mimi mpaka lini mpaka lini mpaka lini baba mpaka lini maisha ya mateso mpaka lini masimango mpaka lini kuonewa onewa mpaka lini baba mpaka lini mpaka

Mpaka Lini.mp3

Mpaka Lini.video.mp4 YouTube

 

Hits: 8

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post