Ibada Lyrics ibada_lyrics Ni neema ya mkombozi – Nimefanyika kuwa mwana

Ni neema ya mkombozi – Nimefanyika kuwa mwana

Lyrics Of The Song Ni neema ya mkombozi – Nimefanyika kuwa mwana

Song ID 3975

ni neema ya mkombozi ni neema sikustahili ni neema ya mkombozi nineema sikustahili nimefanyika kuwa mwana na nimeesabiwa haki nimefanyika kuwa mwana na nimeesabiwa haki nimefanyika kuwa mwana na nimeesabiwa haki nimefanyika kuwa mwana na nimeesabiwa haki ukuhani wa kifalme uzaao mteule mtu wa milki ya Mungu nimefanyika kuwa mwana kwa kazi ya msalaba yakale yoteyamepita tazama yamekuwa mapya nimefanyika kuwa mwana

Ni neema ya mkombozi – Nimefanyika kuwa mwana.mp3

Ni neema ya mkombozi – Nimefanyika kuwa mwana.video.mp4 YouTube

 

Hits: 25

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post