Ibada Lyrics ibada_lyrics Ni Salama Rohoni Mwangu

Ni Salama Rohoni Mwangu

Lyrics Of The Song Ni Salama Rohoni Mwangu

Song ID 3821

nionapo amani kama shwari ama nionapo shida kwa mambo yote umenijulisha ni salama rohoni mwangu salama rohoni ni salama rohoni mwangu ingawa shetani atanitesa nitajipa moyo kwani kristo ameona unyonge wangu amekufa kwa roho yangu dhambi zangu zote wala si nusu zimewekwa msalabani wala sichukui laana yake ni salama rohoni mwangu ee Bwana himiza siku ya kuja panda itakapolia utakaposhuka sitaogopa ni salama rohoni mwangu hymn it is well with my soul

Ni Salama Rohoni Mwangu.mp3

Ni Salama Rohoni Mwangu.video.mp4 YouTube

 

Hits: 15

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post