Ibada Lyrics ibada_lyrics Njoni tukamwimbie Bwana

Njoni tukamwimbie Bwana

Lyrics Of The Song Njoni tukamwimbie Bwana

Song ID 2173

njoni tukamwimbie Bwana x2 maana siku ya Bwana yaja x2 njoni yeye ni Mungu wa miungu x2 maana siku ya Bwana yaja x2 njoni yeye ni Bwana wa majeshi x2 maana siku ya Bwana yaja x2 njoni yeye ni falme wa mbinguni x2 maana siku ya Bwana yaja x2 njoni yeye ni Bwana wa si sote x2 maana siku ya Bwana yaja x2 njoni

Njoni tukamwimbie Bwana.mp3

Njoni tukamwimbie Bwana.video.mp4 YouTube

 

Hits: 6

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post