Ibada Lyrics ibada_lyrics Omba Omba utafute uso wa Bwana

Omba Omba utafute uso wa Bwana

Lyrics Of The Song Omba Omba utafute uso wa Bwana

Song ID 2266

gethsamane Yesu aliomba baba mapenzi yako yatimizwe Mungu kwa ajili yako na yangu kampa nguvu akashinda nawe omba omba utafute uso wa Bwana aonaye kwa siri atakujibu kwa wazi dada ndugu mtafute Bwana apatikanapo umuite sasa yukaribu asema Bwana unapomuita hakika atakusikia nawe omba omba utafute uso wa Bwana aonaye kwa siri atakujibu kwa wazi ndugu dada omba usije ukaingia majaribuni eh ndugu usimame mkamilifu mbele za Bwana daima nawe omba omba utafute uso wa Bwana aonaye kwa siri atakujibu kwa wazi dada omba omba utafute uso wa Bwana aonaye kwa siri atakujibu kwa wazi ndugu omba omba utafute uso wa Bwana aonaye kwa siri atakujibu kwa wazi tuombe omba omba utafute uso wa Bwana aonaye kwa siri atakujibu kwa wazi wakenya omba omba utafute uso wa Bwana aonaye kwa siri atakujibu kwa wazi tuombe tuombe omba omba utafute uso wa aonaye kwa siri atakujibu kwa wazi

Omba Omba utafute uso wa Bwana.mp3

Omba Omba utafute uso wa Bwana.video.mp4 YouTube

 

Hits: 8

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post