Penzi Langu

Lyrics Of The Song Penzi Langu

Song ID 3564

eeeh Yesu ooh ewe Yesu penzi langu kwako Yesu jina lako kama asali kwenye ulimi wangu ni tamu Yesu pendo lako kama mvua rasha rasha yanyesha ni tamu Yesu amani yako kama maji matulivu masafi matamu ninakupenda nakupenda penzi langu ooh penzi langu ni kwako minakupenda nakupenda penzi langu ooh penzi langu ni kwako ukanitoa kwenye shimo la mauti ukaniweka karibu nawe kanipanguza machozi ukanitoa kwenye moto ili mimi nikae salama Yesu wangu imani yangu naiweka kwako nisiabike maana upendo wako wanitosha wanitosha mie nakupenda nakupenda penzi langu ni kwako mie nakupenda nakupenda penzi langu ni kwako nakumbuka jinsi ulivyonipenda ukamtoa mwana wako anifie nisemeje ila ni shukurani kwako yeiyee nakupenda nakupenda penzi langu ni kwako ewe mie nakupenda nakupenda penzi langu ni kwako ewe

Penzi Langu.mp3

Penzi Langu.video.mp4 YouTube

 

Hits: 7

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post