Ibada Lyrics ibada_lyrics Ulinijua toka tumboni mwa mama yangu

Ulinijua toka tumboni mwa mama yangu

Lyrics Of The Song Ulinijua toka tumboni mwa mama yangu

Song ID 3317

ulinijua toka tumboni mwa mama yangu mkono wako mkuu ukawa juu yangu ukanipenda hata pasipokukutambua ukanitoa mautini ukanifanya wako kama sio wewe Yesu ningekuwa wapi nashukuru baba kwa upendo wako mkuu kama sio wewe Yesu ningekuwa wapi nashukuru baba kwa upendo wako mkuu safari pamoja nawe sio mteremko milima mabonde umenikomboa Yesu uliahidi kutoniacha pekee yangu nashuhudia uaminifu wako kwangu safarini baba nimekuita ukaitika safarini baba machozi mengi umeyafuta nimejua Mungu ajibuye maombi nimepata rafiki asiyebadilika

Ulinijua toka tumboni mwa mama yangu.mp3

Ulinijua toka tumboni mwa mama yangu.video.mp4 YouTube

 

Hits: 8

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post