Ibada Lyrics ibada_lyrics Uliyotenda Tenda Sasa

Uliyotenda Tenda Sasa

Lyrics Of The Song Uliyotenda Tenda Sasa

Song ID 2243

uliyotenda Mungu baba uliyotenda tenda sasa uliyotenda baba uliyotenda tenda sasa Bwana wa maBwana mfalme wa wafalme Mungu mwenye kanisa lako lakuhitaji baba wakuone wakusifu waliunue jina lako uliyotenda uliyotenda tenda sasa uliyotenda uliyotenda tenda sasa mama yule aliyetokwa na damu miaka kumi na miwili ulimtendea miujiza damu ikakauka watazame hata sasa kina mama wanakuhitaji waponye watakase waonyeshe uzima wako watende miujiza tenda baba mama analia hana karo uliyotenda uliyotenda tenda sasa kijana yule kaka hawana pesa za matumizi shida zimewainukia tenda sasa uliyotenda uliyotenda tenda sasa

Uliyotenda Tenda Sasa.mp3

Uliyotenda Tenda Sasa.video.mp4 YouTube

 

Hits: 2

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post