Ibada Lyrics ibada_lyrics Utukuzwe Ewe Baba

Utukuzwe Ewe Baba

Lyrics Of The Song Utukuzwe Ewe Baba

Song ID 3871

utukuzwe ewe baba Mungu utukuzwe alleluia aa kwani Yesu mfufuka ametualika alleluia aa alleluia utukuzwe utukuzwe baba muumba ulimwengu alleluia aa x2 tumepokea mkate mazao ya mashamba ndiyo alama kwetu ya wema wako mkuu ni tunda la bidii ya mkono na ya moyo jalie iwe kwetu chakula cha uzima zawadi ya divai kutoka mizabibu ndiyo alama kwetu ya wema wako mkuu ni tunda la bidii ya mkono na moyo jalie iwe kwetu kinywaji chake roho sifa kwako ee Mungu kwa kuotesha mkate shukrani kwako baba kwa kutulisha sisi utukuzwe ee Mungu uliyetuchagua tuwe taifa lako la kukutumikia kwa pendo na fadhili umetufurahisha ukatufikisha kwa sherehe yetu leo siku ya leo iwe kwa heshima na sifa na utukufu wako na kwa maafa yetu

Utukuzwe Ewe Baba.mp3

Utukuzwe Ewe Baba.video.mp4 YouTube

 

Hits: 6

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post