Ibada Lyrics ibada_lyrics WASTAHILI Bwana

WASTAHILI Bwana

Lyrics Of The Song WASTAHILI Bwana

Song ID 3921

wastahili Bwana wastahili Bwana ulikufa msalabani niokolewe wastahili Bwana wastahili Bwana wastahili Bwana ulibeba mizigo yangu sasa ni huru wastahili Bwana uliacha utukufu wako ukaishi kati yetu kwa mapendo ulipatwa na simamzi ulinifia wastahili Bwana uliwekwa kaburini Bwana ukafufuka wewe Bwana wangu ulipaa juu mbinguni na watawala nakusifu Yesu

WASTAHILI Bwana.mp3

WASTAHILI Bwana.video.mp4 YouTube

 

Hits: 27

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post