Ibada Lyrics ibada_lyrics Yesu Ndiye Msaada Wangu

Yesu Ndiye Msaada Wangu

Lyrics Of The Song Yesu Ndiye Msaada Wangu

Song ID 3650

Yesu ndiye msaada wangu wa karibu kwa yote ninayopitia maaana mimi siyawezi haya yote ni wewe uyawezaye Mungu wangu nifungulie milango ya mbinguni kwa yote ninayopitia ni wewe uyawezaye shida zangu zimekuwa nyingi nakuhitaji wewe wewe ndiwe unabariki bariki na tena unaponya mlinzi mwema utulindaye na wewe tu unafariji baba wewe ndiwe mti wa uzima milele twakuhitaji baba yeye Yesu wangu nakuhitaji njoo ndani ya moyo wangu unibariki nifariji maana nimevunjika ooh sina mwingine aniwezaye ila wewe wanitosha hakuna aliye kama Yesu maana yeye hutenda ni wewe uyawezaye ninakuinua ni wewe uyawezaye ni wewe waweza yote ni wewe uyawezaye ninakutukuza ni wewe uyawezaye ni wewe waweza yote ni wewe baba abeddy ngosso ft sarah k

Yesu Ndiye Msaada Wangu.mp3

Yesu Ndiye Msaada Wangu.video.mp4 YouTube

 

Hits: 6

Leave a Reply

Related Post