Lyrics Of The Song YAHWEH UHIMIDIWE
Song ID 1983
yahweh uhimidiwe uaminifu wako umejulikana kwa mataifa yote ya ulimwengu yahweh uliumba lakini haukumbwa jina lako jemedari ninakuinua jina lako mkombozi ninakupenda umefuta jina langu kwenye hukumu umefuta jina langu kwenye laana ndio maana ninakuina Mungu wangu ee kwa sababu siko tena chini ya dhambi ee
YAHWEH UHIMIDIWE.video.mp4 YouTube
Hits: 23