Lyrics Of The Song Yesu amefanyika bora
Song ID 1349
Yesu amefanyika bora kupita malaika na wanadamu jina lake limerithi utukufu na heshima ni yeye yule na miaka yake haitakoma milele Yesu ni mkate wa uzima ndiye alpha na omega nabii na shahidi wetu mwaminifu mwangalizi wa roho yangu Yesu ndiye jua la haki na jua litokalo mbinguni utukufu wake wangara zaidi ya nyota zote Yesu ndiye simba wa yuda asiyeshindwa vitani utukufu wake wangara zaidi ya nyota zote na siku moja nitamuona Yesu uso kwa uso na siku moja nitamuona Yesu uso kwa uso
Yesu amefanyika bora.video.mp4 YouTube
Hits: 33