Ibada Lyrics ibada_lyrics AFADHALI Yesu

AFADHALI Yesu

Lyrics Of The Song AFADHALI Yesu

Song ID 220

nimepanda nimeshuka milima mabonde na mito nimevuka nimeosa nimesota nimekosa mpaka mpaka nimekopa nimeamini binadamu ole wangu roho wakanivunja niliambiwa nikakana mimi mwenyewe nimekuja on tunachodhamini hakitufai tufurahiii ooh najiuliza furaha yangu ni nani afadhali Yesu aaah afadhali ye aliye na Yesu 4 nimesakasaka mali saana nikipatapata bado nataka more nimesakasaka pesa saana nikipatapata bado nataka more makosa yangu na dhambi zangu matendo yangu yale ninajuta umechukua umeondoa ulisema hutayakumbuka

AFADHALI Yesu.mp3

AFADHALI Yesu.video.mp4 YouTube

 

Hits: 6

Leave a Reply

Related Post