Lyrics Of The Song Ero Ero Ero Twaleta Vipaji
Song ID 2177
sadaka tunaleta Bwana upokee sadaka x2 wanao twakuomba Bwana upokee sadaka x2 wanao twakuomba Bwana upokee sadaka x2 ero ero eroo twaleta vipaji ero ero eroo ee Bwana uvipokee mazao ya mashamba Bwana upokee mazao na fedha zetu kweli Bwana upokee na fedha na nafaka zetu we Bwana upokee nafaka furaha yetu yote Bwana upokee furaha vipaji vyetu hivi Bwana upokee vipaji mkate na divai Bwana upokee mkate
Ero Ero Ero Twaleta Vipaji.mp3
Ero Ero Ero Twaleta Vipaji.video.mp4 YouTube
Hits: 52