Lyrics Of The Song Ni Zawadi Twaleta Kwa Bwana
Song ID 1715
ni zawadi twaleta kwa Bwana ni sadaka ee Bwana pokea x2 mkate pia divai ni sadaka ee Bwana pokea x2 mazao ya mashamba yetu x2 na fedha za mifukoni x2 mavuno ya shamba letu x2 baraka ulizo tupa x2 ili utubarikie x2
Ni Zawadi Twaleta Kwa Bwana.mp3
Ni Zawadi Twaleta Kwa Bwana.video.mp4 YouTube
Hits: 16