Pokea Sifa

Lyrics Of The Song Pokea Sifa

Song ID 1127

pokea sifa Bwana pokea sifa jina lako litukuzwe Bwana pokea sifa umeumba vyote viishivyo Bwana pokea sifa dunia jua na mwezi Bwana pokea sifa halleluyah jina lako baba jina lako litukuzwe malaika wakuabudu Bwana pokea sifa ulimwengu tunakuabudu Bwana pokea sifa Bwana wetu jina lako takatifu jina lako litukuzwe Bwana pokea sifa enzi yako ni ya milele Bwana pokea sifa

Pokea Sifa.mp3

Pokea Sifa.video.mp4 YouTube

 

Hits: 13

Leave a Reply

Related Post