Ibada Lyrics ibada_lyrics Pokea Sifa na Utukufu

Pokea Sifa na Utukufu

Lyrics Of The Song Pokea Sifa na Utukufu

Song ID 1343

pokea sifa na utukufu pokea sifa na utukufu mbingu yote na dunia zimejaa utukufu wako mbingu yote na dunia zimejaa utukufu wako wewe ni Mungu uketiye mahali pa juu umeketi katikati ya sifa za watu wako maserafi makeribu watakatifu wako Mungu wakisema wastahili pokea sifa nasi Bwana twaungana na watakatifu tukisema wastahili milele yote leo twaungana na malaika tukisema wastahili milele yote lalala mkono wako ni wa ajabu lalala nguvu zako ni za uweza lalala moyo wangu utakusifu wewe pokea sifa na utukufu pokea sifa na utukufu mbingu yote na dunia zimejaa utukufu wako mbingu yote na dunia zimejaa utukufu wako mpenzi mwema rafiki baba wa wote tegemeo mfariji wakati wa shida tumaini letu wakati wote all the nations declare of your glory lalala mkono wako ni wa ajabu lalala nguvu zako ni za uweza lalala moyo wangu utakusifu wewe

Pokea Sifa na Utukufu.mp3

Pokea Sifa na Utukufu.video.mp4 YouTube

 

Hits: 8

Leave a Reply

Related Post