Ibada Lyrics ibada_lyrics MAMBO YANABADILIKA – Naona Mambo Yakibadilika

MAMBO YANABADILIKA – Naona Mambo Yakibadilika

Lyrics Of The Song MAMBO YANABADILIKA – Naona Mambo Yakibadilika

Song ID 2322

huu ni mwaka wa urejesho mambo mambo yabadilika naona mambo yakibadilika yabidilika kwa wema wako naona mambo yakibadilika yabidilika kwa wema wako mambo mambo yabadilika walio chini sasa naona wakiinuliwa walio nyuma sasa naona wakiwa mbele wanaodharauliwa naona heshima zao wanaolia sasa machozi yanapanguzwa huu ni mwaka wa urejesho uliyepoteza ndoa naona ikirejeshwa uliyepoteza watoto naona wakirejeshwa uliyepoteza nyumba naona ikirejeshwa uliyepoteza kazi naona ikirejeshwa uliyepoteza cheo naona kikirejeshwa uliyepoteza heshima naona ikirejea kwani mambo yabadilika majina yaenda kubadilika wanaoitwa tasa naona wakiitwa mama wanaodharauliwa naona heshima zao wanaoitwa duni sasa wainuliwa walio pekee yao waenda pata wachumba kwani mambo mambo yabadilika wanaolia sasa machozi wanapanguza waliokataliwa sasa wakubalika wasio na makao wapata makao yao wasio na amani wapata amani yao wasio na furaha wapata furaha yao kwani mambo mambo yabadilika jipe jina tutakuita unapojiita sasa pokea jina jipya maana majina yabadilika naitwa mbarikiwa tukuite nani nani leo jipe jina jipe jine na wewe waitwa nani leo baba yangu tukuite nani naona mambo yakibadilika yabidilika kwa wema wako jipe jina jipe jina

MAMBO YANABADILIKA – Naona Mambo Yakibadilika.mp3

MAMBO YANABADILIKA – Naona Mambo Yakibadilika.video.mp4 YouTube

 

Hits: 3

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post