Ibada Lyrics ibada_lyrics KAZI YA MSALABA lyrics by Daddy Owen ft Danny Gift

KAZI YA MSALABA lyrics by Daddy Owen ft Danny Gift

Lyrics Of The Song KAZI YA MSALABA lyrics by Daddy Owen ft Danny Gift

Song ID 472

baraka nimepokea kwako nimetulia mimi nisije tumbukia kwa mambo ya dunia kwako nijifiche milele fitina zanizingira anasa kila kona kwa mikono yako niweke mtakatifu tokeo leo hadi milele niwe radhi mimi kwa makosa yote anipenda anijali anipenda x2 hakuna silaha lyrics by sarah k hakuna silaha yeyote iliyotumwa kinyume chetu itakayofaulu x2 silaha yoyote itakayotumwa kwa njia moja au nyingine itawanyishwa kwa njia saba haitafaulu x2 refrain yalionenwa na walio hai na walio kufa chini ya maji na nchi kavu haitafaulu x2 refrain hakuna x3 itakayofaulu neno la Mungu linasema hakuna uchawi mapepo unganga ushirikina itakayofaulu usiogope simama na neno la Mungu mambo yabadilika lyrics by hellena ken huu ni mwaka wa urejesho x2 mambo mambo yabadilika x2 repeat chorus naona mambo yakibadilika yabidilika kwa wema wako repeat mambo mambo yabadilika x2 walio chini sasa naona wakiinuliwa walio nyuma sasa naona wakiwa mbele wanaodharauliwa naona heshima zao wanaolia sasa machozi yanapanguzwa huu ni mwaka wa urejesho x2 uliyepoteza ndoa naona ikirejeshwa uliyepoteza watoto naona wakirejeshwa uliyepoteza nyumba naona ikirejeshwa uliyepoteza kazi naona ikirejeshwa uliyepoteza cheo naona kikirejeshwa uliyepoteza heshima naona ikirejea kwani mambo yabadilika majina yaenda kubadilika x2 wanaoitwa tasa naona wakiitwa mama wanaodharauliwa naona heshima zao wanaoitwa duni sasa wainuliwa walio pekee yao waenda pata wachumba kwani mambo mambo yabadilika x2 wanaolia sasa machozi wanapanguza waliokataliwa sasa wakubalika wasio na makao wapata makao yao wasio na amani wapata amani yao wasio na furaha wapata furaha yao kwani mambo mambo yabadilika x2 jipe jina tutakuita unapojiita sasa pokea jina jipya maana majina yabadilika naitwa mbarikiwa tukuite nani nani leo jipe jina jipe jine na wewe waitwa nani leo baba yangu tukuite nani jipe jina jipe jine

KAZI YA MSALABA lyrics by Daddy Owen ft Danny Gift.mp3

KAZI YA MSALABA lyrics by Daddy Owen ft Danny Gift.video.mp4 YouTube

 

Hits: 1

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post