Ibada Lyrics ibada_lyrics Wewe Ndiwe Baba Yangu – Bwana Yesu

Wewe Ndiwe Baba Yangu – Bwana Yesu

Lyrics Of The Song Wewe Ndiwe Baba Yangu – Bwana Yesu

Song ID 2001

Bwana Yesu Bwana Yesu kimbilio langu ni wewe baba tumaini langu liko kwako yaweh mimi sina uwezo sina baba mwingine ila wewe mimi sina uwezo sina baba mwingine ila wewe wewe ndiwe baba yangu msaada wangu wa karibu wewe ndiwe baba yangu msaada wangu wa karibu haleluya haleluya baba oh ulinifia mwokozi wangu dhambi zangu zote ukaziosha sijapata mwingine dunia yote kama wewe yahweh sijapata mwingine sijapata mwingine kama wewe yahweh nakuinua nakuinua milele milele nitakuimbia kwa yale umenitendea baba nakusifu milele milele milele daima Bwana wangu milele na milele milele daima Bwana wangu we hakuna hakuna nasema hakuna kama wewe mbinguni na duniani tuimbe hakuna kama wewe aliye filia dhambi zangu nasema hakuna kama wewe mponyaji wangu ndiye jehova rafa hakuna kama wewe hakuna hakuna naimba hakuna kama wewe hakuna hakuna nasema hakuna kama wewe ulimwengu wote tuimbe hakuna kama wewe dunia yote tuseme tusemee hakuna kama wewe nasema hakuna hakuna hakuna hakuna kama wewe oh hakuna hakuna nasema hakuna kama wewe oh hakuna hakuna naimba hakuna kama wewe hakuna hakuna tuimbe hakuna kama wewe hakuna hakuna nasema hakuna kama wewe hakuna hakuna naimba hakuna kama wewe

Wewe Ndiwe Baba Yangu – Bwana Yesu.mp3

Wewe Ndiwe Baba Yangu – Bwana Yesu.video.mp4 YouTube

 

Hits: 3

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post