Ibada Lyrics ibada_lyrics Hakuna Kama Wewe

Hakuna Kama Wewe

Lyrics Of The Song Hakuna Kama Wewe

Song ID 454

nakwabudu Mungu eeh naungana na malaika baba pamoja na maseraphi ewe makerubi na wazee ishirini na wanne kusema hakuna kama wewe eeh hakuna kama wewe hakuna kama wewe hakuna kama wewe hakuna kama wewe hakuna kama wewe hakuna kama wewe hakuna kama wewe hakuna kama wewe tunainama tunainuka tukisema wewe ni Mungu tunainama tunainuka tukisema hakuna kama wewe tunainama tunainuka tukisema wewe ni Mungu tunainama tunainuka tukisema hakuna kama wewe hakuna kama wewe hakuna kama wewe hakuna kama wewe hakuna kama wewe hakuna kama wewe hakuna kama wewe hakuna kama wewe hakuna kama wewe wakulinganishwa na wewe wakusimama kando yako wakusimama juu yako hakuna aliye na nguvu kama wewe anayetupenda kama wewe anayetulinda hakuna anayetujali sisi anayetupa tunapoomba anayejibu maombi hakuna hakuna kama wewe hakuna kama wewe hakuna kama wewe hakuna kama wewe hakuna kama wewe hakuna kama wewe hakuna kama wewe hakuna kama wewe mtakatifu wa watakatifu uliyeketi kwenye kiti cha enzi hakuna mwingine kama wewe baba hakuna anayetawala eieeh unayeponya magonjwa ya kila aina saratani na kisukati hata ukimwi hakuna jambo ngumu kwako wazitatua shida zetu wazifahamu wewe baba twakwabudu umetupa afya njema umetulinda usiku kuccha umekuwa rafiki wetu wa karibu unayefarithi waliofiwa nakutufuta machozi unayetupa amani baba twakwabudu unayesamehe dhambi jehovah unayeweka roho zetu huru unafungua minyororo ya shetani twakimbilia kwako ewe baba msaada wetu ni wee tegemeo letu ni wee ieeh messiah hakuna kama wewe hakuna kama wewe hakuna kama wewe hakuna kama wewe hakuna kama wewe hakuna kama wewe hakuna kama wewe hakuna kama wewe tunainama tunainuka tukisema wewe ni Mungu tunainama tunainuka tukisema hakuna kama wewe tunainama tunainuka tukisema wewe ni Mungu tunainama tunainuka tukisema hakuna kama wewe hakuna kama wewe hakuna kama wewe hakuna kama wewe hakuna kama wewe

Hakuna Kama Wewe.mp3

Hakuna Kama Wewe.video.mp4 YouTube

 

Hits: 9

Leave a Reply

Related Post