Ibada Lyrics ibada_lyrics NAPENDA lyrics by Christina Ashusho

NAPENDA lyrics by Christina Ashusho

Lyrics Of The Song NAPENDA lyrics by Christina Ashusho

Song ID 2313

napenda neno lako napenda hekima zako napenda sifa zako kila kitu kwako napenda napenda hukumu zako napenda huruma zako kila kitu kitokacho kwako mimi napenda mfalme napenda napenda utawala wako napenda ahadi zako Yesu na mafundisho yako na ukarimu wako napenda nione ukinitendea napenda nione ukinibariki napenda nione ukiniinua kila kitu mimi napenda napenda nione ukiniponya napenda nione ukinifariji napenda nione ukiniinua kila kitu kwako Bwana mimi napenda x2 napenda napenda kila kitu kwako mimi napenda napenda o napenda kitokacho kwako mimi napenda

NAPENDA lyrics by Christina Ashusho.mp3

NAPENDA lyrics by Christina Ashusho.video.mp4 YouTube

 

Hits: 2

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post