Ibada Lyrics ibada_lyrics napenda nione

napenda nione

Lyrics Of The Song napenda nione

Song ID 320

napenda nione ukinitendea napenda nione ukinibariki napenda nione ukiniinua kila kitu kwako mimi napenda napenda nione ukiniponya napenda nione ukinifariji napenda nione ukiniinua kila kitu kwako Bwana mimi napenda napenda napenda kila kitu kwako mimi napenda napenda oh napenda kila kitokacho kwako napenda Yesu eeh mimi napenda mambo yako nayapenda napenda napenda kila kitu kwako mimi napenda napenda oh napenda kila kitokacho kwako napenda napenda neno lako napenda hekima zako napenda sifa zako Yesu kila kitu kwako mimi napenda napenda hukumu zako napenda huruma zako napenda rehema zako kila kitokacho kwako mimi napenda napenda neno lako napenda hekima zako napenda sifa zako Yesu kila kitokacho kwako napenda napenda hukumu zako napenda huruma zako napenda rehema zako kila kitokacho kwako mimi napenda napenda napenda kila kitu kwako mimi napenda napenda oh napenda kila kitokacho kwako napenda mfalme nakupenda habari zako nazipenda napenda napenda kila kitu kwako mimi napenda napenda oh napenda kila kitokacho kwako napenda napenda utawala wako napenda ahadi zako napenda njia zako Yesu na mafundisho yako na ukarimu wako napenda napenda kila kitu kwako mimi napenda napenda oh napenda kila kitokacho kwako napenda napenda napenda kila kitu kwako mimi napenda napenda oh napenda kila kitokacho kwako napenda

napenda nione.mp3

napenda nione.video.mp4 YouTube

 

Hits: 2

Leave a Reply

Related Post