Ibada Lyrics ibada_lyrics Ee Bwana Napenda Makao

Ee Bwana Napenda Makao

Lyrics Of The Song Ee Bwana Napenda Makao

Song ID 3476

ee Bwana napenda makao ya nyumba yako na mahali pa utakatifu wako x2 ee Bwana na furaha yangu yote ninakuja x2 ee Bwana aaa ninakuja e Bwana kukutukuza x2 kwani wema wako wajaza maisha yangu naenda katika uaminifu wako x2 naosha mikono yangu katika usafi nitaizungukia altare yako

Ee Bwana Napenda Makao.mp3

Ee Bwana Napenda Makao.video.mp4 YouTube

 

Hits: 16

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post