Ibada Lyrics ibada_lyrics Juu Yako Bwana Naishi

Juu Yako Bwana Naishi

Lyrics Of The Song Juu Yako Bwana Naishi

Song ID 3136

umenilinda na kunihifadhi fadhili zako za milele ni ju yako Bwana mi naishi umenilinda kwa mishale ya kifo fadhili zako za milele ni ju yako Bwana ninaishi umenilinda kwa mikosi yoyote fadhili zako za milele ni ju yako Bwana ninaishi pokea sifa zote na utukufu heshima na uweza ni zako Bwana haulinganishwi na chochote fadhili zako za milele ni ju yako Bwana ninaishi gongo lako na fimbo yako yanifariji mimi ni ju yako Bwana mi naishi waandaa meza mbele ya watesi wangu ni ju yako Bwana mi naishi nipitapo kwenye uvuli wa kifo wewe huniachi baba ni ju yako Bwana mi naishi

Juu Yako Bwana Naishi.mp3

Juu Yako Bwana Naishi.video.mp4 YouTube

 

Hits: 2

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post