Ibada Lyrics ibada_lyrics Fadhili zake ni za Milele

Fadhili zake ni za Milele

Lyrics Of The Song Fadhili zake ni za Milele

Song ID 1531

zaburi mia moja na thelathini na sita tumshukuru Bwana na tuimbe pamoja psalms 100 36 mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema kwa maana fadhili zake ni za milele x2 mshukuruni Mungu wa miungu fadhili zake ni za milele mshukuruni Bwana wa maBwana fadhili zake ni za milele amefanya maajabu fadhili zake ni za milele yeye alifanya mbingu na nchi fadhili zake ni za milele sema kabisa mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema kwa maana fadhili zake ni za milele x2 amefanya mianga mikubwa fadhili zake ni za milele jua litawale mchana fadhili zake ni za milele mwezi na nyota usiku fadhili zake ni za milele akatandaza nchi juu ya maji fadhili zake ni za milele imba kabisa mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema kwa maana fadhili zake ni za milele x2 aliyeigawa bahari ya shamu fadhili zake ni za milele akavusha waisiraeli fadhili zake ni za milele aliyemshinda farao fadhili zake ni za milele na majeshi yake yote fadhili zake ni za milele sema kabisa yeye aliyetukumbuka fadhili zake ni za milele katika unyonge wetu fadhili zake ni za milele atuokoaye na watesi fadhili zake ni za milele Mungu kweli ni wa ajabu fadhili zake ni za milele mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema kwa maana fadhili zake ni za milele x4

Fadhili zake ni za Milele.mp3

Fadhili zake ni za Milele.video.mp4 YouTube

 

Hits: 9

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post