Ibada Lyrics ibada_lyrics Mshukuruni Mwokozi

Mshukuruni Mwokozi

Lyrics Of The Song Mshukuruni Mwokozi

Song ID 2053

mshukuruni mwokozi enyi mataifa pigeni vigelegele pigeni makofi x2 tangazeni rehema zake leo asubuhi semeni ya kuwa Bwana ni mwenye adili x2 njooni tumwimbie Bwana mwamba wa wokovu wetu mikononi mwake zimo mbonde za dunia baharini yake ndiye aliyeumba na mikono yake ilituumba sisi Bwana ametamalaki mataifa yake vyema ameketi juu ya makerubi mbinguni yeye Bwana katika zayuni ni mkuu katukuka juu ya mataifa yote mshangilieni Bwana mwimbieni kwa zaburi vinanda na baragumu vyote mvipige mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema kwa kuwa fadhili zake ni za milele

Mshukuruni Mwokozi.mp3

Mshukuruni Mwokozi.video.mp4 YouTube

 

Hits: 15

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post