Lyrics Of The Song MATAIFA YOTE YATAKUSANYIKA
Song ID 689
mataifa yote yatakusanyika mbele zake Bwana mwokozi waliokoka watakusanyika mbele zake Bwana mwokozi watakuabudu Bwana watakuabudu Bwana haleluya Bwana watakuabudu Bwana watakuabudu Bwana haleluya Bwana watakatifu wote watakusanyika mbele zake Bwana mwokozi waliokoka watakusanyika mbele zake Bwana mwokozi watasujudu Bwana watasajudu Bwana haleluya Bwana watakupa sifa Bwana watapa sifa Bwana haleluya Bwana watakuabudu Bwana watakuabudu Bwana haleluya Bwana watakuimbia Bwana watakuimbia Bwana haleluya Bwana watafurahi Bwana watafurahia Bwana haleluya Bwana wenye dhambi wote watakusanyika mbele zake Bwana mwokozi na walevi wote watakusanyika mbele zake Bwana mwokozi na washerati wote watakusanyika mbele zake Bwana mwokozi na waongo wote watakusanyika mbele zake Bwana mwokozi watalia woi woi wooi woii woi woi wakiteseka woi wakichomeka woi wooi woii woi woi watajuta woi watateseka woi woi woi woi woi
MATAIFA YOTE YATAKUSANYIKA.mp3
MATAIFA YOTE YATAKUSANYIKA.video.mp4 YouTube
Hits: 3