Ibada Lyrics ibada_lyrics Ameni Amen Haleluya

Ameni Amen Haleluya

Lyrics Of The Song Ameni Amen Haleluya

Song ID 3700

usifiwe Mungu muumba mbingu na nchi yote ameni amen jehova adonai jehova elshadai ameni amen uko kila mahali baba dunia yakutambua ameni amen ukisema yahweh nani apingane nawe ameni amen hallelujah haleluya haleluya wewe ni Mungu mfalme Bwana wa maBwana haleluya haleluya wewe ni Mungu mfalme Bwana wangu tuko salama chini ya mbawa zake ameni amen kanisa sote tu imara tumesimama palipo sawa ameni amen tumepewa nguvu mamlaka na uwezo ameni amen usifiwe wewe uliye juu sana ameni amen hakuna silaha kinyume itakayofaulu ameni amen aliye ndani yetu ni mkuu zaidi ya tunaye muona ameni amen tumepewa nguvu mamlaka na uwezo ameni amen usifiwe wewe uliye shinda yote ameni amen tunakuinua haleluya haleluya wewe ni Mungu mfalme Bwana wa maBwana haleluya haleluya wewe ni Mungu mfalme Bwana wangu haleluya haleluya wewe ni Mungu mfalme Bwana wa maBwana haleluya haleluya wewe ni Mungu mfalme Bwana wangu

Ameni Amen Haleluya.mp3

Ameni Amen Haleluya.video.mp4 YouTube

 

Hits: 3

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post