Ibada Lyrics ibada_lyrics Mfalme wa Amani

Mfalme wa Amani

Lyrics Of The Song Mfalme wa Amani

Song ID 831

daudi kasema nilikuwa kijana sasa ni mzee daudi kasema nilikuwa kijana sasa ni mzee sijawahi ona mwenye haki ameachwa mimi wala watoto wake kuombaomba mikate barabarani Mungu ni mwaminifu kwa ahadi zake wanadamu Mungu ni mwaminifu kwa ahadi zake si kama wanadamu akiongea Yesu ameongea akikuahidia kitu baba ameahidi na ujasiri aah atatenda kwa wakati wake yoyoo ninamwita Bwana wa amani yeyeyee ninamwita mfalme wa amani bwaanaa ndio maana mimi ninaimba kwa sababu ya amani yake ni uwezo gani uwezo gani unaompinga Yesu uwezo gani uwezo gani uwezo gani mfalme wa amani mfalme wa amani uinuliwe wewe ni mwema wewe ni mwema Bwana wangu usilie usilie usiliwe wewe usilie Bwana anakujua ndugu yangu amesikia kilio chako wewe mama unalia nini kwa wanadamu mama yangu wanadamu hawatakusaidia na kitu wanadamu hawatakuwezesha kwa kitu chochote tunaye mmoja anayepanguza machozi ya watu wake ni yule mfalme wa amani ni yule aliyesema yote imekwisha mama unayoyapitia ni yeye anayeyaona anajua shida yako mama yangu anajua magumu yako baba yangu ukiwa na shida usiende kwa waganga wa dunia ukiwa na magumu usiende kwa wafumu wa dunia muite mfalme wa amani yeye anajibu maombi ni uwezo gani uwezo gani unaompinga baba uwezo gani uwezo gani uwezo gani mfalme wa amani uinuliwe Bwana wangu yale unayotenda inashangaza dunia nzima wanaokosa amani ndani ya nyumba zao wape amani wanaokosa amani ndani ya kazi zao wape amani ni wewe Bwana wa amani ya kudumu ni wewe Bwana wa amani ya afrika amerika wanalia amani tunawe Bwana mfalme wa amani hakuna kitu kile kinachokushinda Bwana yeye mfalme wa amani uinuliwe wewe ni mwema wewe ni mwema Bwana wangu

Mfalme wa Amani.mp3

Mfalme wa Amani.video.mp4 YouTube

 

Hits: 2

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post