Ibada Lyrics ibada_lyrics Kaa Nami ni Usiku Tena

Kaa Nami ni Usiku Tena

Lyrics Of The Song Kaa Nami ni Usiku Tena

Song ID 1891

kaa nami ni usiku tena usiniache gizani Bwana msaada wako haukomi nili pekee yangu kaa nami siku zetu hazikawii kwisha sioni la kunifurahisha hakuna ambacho hakikomi usiye na mwisho kaa nami nina haja nawe kila saa sina mwingine wa kunifaa mimi nitaongozwa na nani ila wewe Bwana kaa nami sichi neno uwapo karibu nipatalo lote si taabu kifo na kaburi haviumi nitashinda kwako kaa nami swahili hymn for abide with me perfomed by angela chibalonza nilalapo nikuone wewe hold thou thy cross before my closing eyes gizani mwote nimulikie shine through the gloom and point me to the skies nuru za mbinguni hazikomi heavens morning breaks and earths vain shadows flee siku zangu zote kaa nami in life in death o Lord abide with me

Kaa Nami ni Usiku Tena.mp3

Kaa Nami ni Usiku Tena.video.mp4 YouTube

 

Hits: 2

Leave a Reply

Related Post