Sema Nami

Lyrics Of The Song Sema Nami

Song ID 422

sema nami sema nami sema na mimi sema na moyo wangu sema nami sema nami sema nami sema na moyo wangu ulikuwepo toka mwanzo ulitangaza nchi juu ya maji we wajua nisioyajua baba sema na moyo wangu we wajua kuishi kwangu waelewa njia zangu nitendalo kwa siri wajua naomba nena na moyo wangu sema nami sema nami sema nami sema na moyo wangu sema nami sema nami sema nami sema na moyo wangu chunguza nafsi yangu Bwana weka wazi makosa yangu ninataka kutubu Bwana natamani kukaa nawewe usinifiche uso wako sina mwingine wa kukimbilia Mungu sema na mimi sema na moyo wangu sema nami sema nami sema nami sema na moyo wangu sema nami sema nami sema nami sema na moyo wangu halleluya aah weee sema na moyo wangu Bwana moyo wangu wakutamani natamani roho wako natamani mguzo wako naomba nena na moyo wangu nibadilishe nikufanane Mungu ninaomba usinipite Bwana Yesu sema na moyo wangu sema nami sema nami sema nami sema na moyo wangu sema nami sema nami sema nami sema na moyo wangu

Sema Nami.mp3

Sema Nami.video.mp4 YouTube

 

Hits: 12

Leave a Reply

Related Post