Ibada Lyrics ibada_lyrics Tulia na ujue mimi ni Mungu wako

Tulia na ujue mimi ni Mungu wako

Lyrics Of The Song Tulia na ujue mimi ni Mungu wako

Song ID 3208

tulia tulia na ujue mimi ni Mungu wako upitapo chini ya uvuli wa mauti usiwe na hofu asema Bwana yuko pamoja nawe atembea nawe afuta machozi tulia ujue yeye ni Mungu wako tulia tulia na ujue mimi ni Mungu wako tulia tulia na ujue mimi ni Mungu wako shida nyingi mateso mengi kilio kingi duniani jipe moyo utashinda aliyeanzisha kazi nzuri ndani yako ni mwaminifu kutimiza tulia tulia na ujue mimi ni Mungu wako tulia tulia na ujue mimi ni Mungu wako yebo wako ooh tulia tulia na ujue mimi ni Mungu wako akisema atatenda ahadi zake hazivunjiki kamwe wewe jehovah rafa jehova jireh ebeneza ahadi zake hazivunjiki kamwe elshadai elohim ebeneza ahadi zako hazivunjiki kamwe tulia tulia na ujue mimi ni Mungu wako tulia tulia na ujue mimi ni Mungu wako usilie ewe dada tulia tulia na ujue mimi ni Mungu wako usilie mama usilie baba tulia tulia na ujue mimi ni Mungu wako yebo tulia tulia na ujue mimi ni Mungu wako theme bible verses zaburi 23 4 naam nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti sitaogopa mabaya kwa maana wewe upo pamoja nami gongo lako na fimbo yako vyanifariji psalms 23 4 even though i walk through the valley of the shadow of death i will fear no evil for you are with me your rod and your staff they comfort me wafilipi 1 6 nami niliaminilo ndilo hili ya kwamba yeye aliyeanza kazi njema mioyoni mwenu ataimaliza hata siku ya kristo Yesu philippians 1 6 being confident of this very thing that he who began a good work in you will complete it until the day of Jesus christ read our bible in swahili and english parallel

Tulia na ujue mimi ni Mungu wako.mp3

Tulia na ujue mimi ni Mungu wako.video.mp4 YouTube

 

Hits: 6

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post