Ibada Lyrics ibada_lyrics Mimi Mwanake

Mimi Mwanake

Lyrics Of The Song Mimi Mwanake

Song ID 3184

sawa sawa aah benachi usinione nimechakaa unitilie dharau mimi binadamu umesahau unaishi kwa dhamani mimi naishi kwa imani mbele zako mimi sina haki mbele zake mimi mwenye hadhi fahamu kuwa mola ndiye aliniumba mimi na wewe fahamu kuwa mola ndiye aliniumba mimi na wewe mimi mwanake usiku nitalala mbele zake maulana sote tuko sawa mimi mwanake usiku nitalala mbele zake maulana sote tuko sawa ulinipuuza mie eti sifai kuwa nawe uliniona mie eti hatia kula nawe sahani moja tupotiliwa chakula nyumba moja tulipofaa kuishi pamoja mimi mwanake usiku nitalala mimi mwanake usiku nitalala mbele zake maulana sote tuko sawa mbele zake maulana sote tuko sawa wema wake taji la upendo juu yangu ndani yake nilikuwa na uwoga wote uwe kimya ulinipuuza mie ooh ooh sahani moja ooh ooh ooh mimi mwanake usiku nitalala mbele zake maulana sote tuko sawa mimi mwanake usiku nitalala mbele zake maulana sote tuko sawa mimi mwanake usiku nitalala mbele zake maulana sote tuko sawa

Mimi Mwanake.mp3

Mimi Mwanake.video.mp4 YouTube

 

Hits: 5

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post