Ibada Lyrics ibada_lyrics Acha Waambiane

Acha Waambiane

Lyrics Of The Song Acha Waambiane

Song ID 253

acha waambiene wasemezane mabaya yako ila mema wa Mungu maishani mwako acha waambiene wasemezane mabaya yako ila mema wa Mungu maishani mwako usikate tamaa na yale unayoyaona hata kama uko chini sana najua wataambiana wewe ni masikini lakini usichoke ipo siku watasema najua wataambiana wewe hufai na umetembea na wanaume wengi utakapofika wakati wa kuinuliwa aah utashangaa wakiambiana tena eti yule mwana mama aliyekuwa ni kahaba ameolewa sasa ana familia utasikia tena yule aliyekuwa kikaragosi leo anatembelea gari wataambiana eeh acha waambiene wasemezane mabaya yako ila mema wa Mungu maishani mwako acha waambiene wasemezane mabaya yako ila mema wa Mungu maishani mwako neno hili limekuwa la maana kwako lakini lina maana kubwa waweza kuona wanadamu wanatembea kimya kimya ila wametunza bei usije kuona wanacheka nawe hujui moyoni wameweka nini unaweza ona wanakusalimia kwa furaha zote ila kumbe wameshaambiana kwamba yule pale maana yule pale ni mrumba eti yule pale alifeli kidato cha nne na yule pale hana ada ya masomo yule mrumba sasa amaezaa aliyefeli siku hizi ana degree utasikia mengi na utamtukuza Mungu acha waambiane

Acha Waambiane.mp3

Acha Waambiane.video.mp4 YouTube

 

Hits: 1

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post