Ibada Lyrics ibada_lyrics Mwema – siwezi jizuia kusema wako wema Wako mwana

Mwema – siwezi jizuia kusema wako wema Wako mwana

Lyrics Of The Song Mwema – siwezi jizuia kusema wako wema Wako mwana

Song ID 1620

ohh wooih mmh wako mwana ukamtuma duniani kisa na maana nipate uzima jamani wako mwana ukamtuma duniani kisa na maana nipate uzima jamani ishaara kwamba unanipenda zaidi hivo nishaelewa sifa nitakupa zaidi ishaara kwamba unanipenda zaidi hivo nishaelewa sifa nitakupa zaidi na siwezi jizuia kusema wako wema sio kama najigamba umenitenda mema na siwezi jizuia kusema wako wema sio kama najigamba umenitenda mema umekuwa mwema kwangu umenitoa gizani nilipokuwa nimeshikwa mateka ukanipa tumaini kwako nikajificha sasa nitakupa nini iwe sawa na yale umetenda hakuna ila moyoni sifa nitakuimbia ilikugharimu msalabani unifie hivo inanibidi sifa nikuimbie wema wako niseme ili na wengine wakujue wote waungane nami na wazee ishirini na nne na siwezi jizuia kusema wako wema sio kama najigamba umenitenda mema na siwezi jizuia kusema wako wema sio kama najigamba umenitenda mema umekuwa mwema kwangu acha niringe umekuwa mwema kwangu oh yahweh ooh kwangu oh umenitendea kwangu acha niimbe siwezi jizuia kusema wako wema sio kama najigamba umenitenda mema na siwezi jizuia kusema wako wema sio kama najigamba umenitenda mema na siwezi jizuia kusema wako wema sio kama najigamba umenitenda mema na siwezi jizuia kusema wako wema sio kama najigamba umenitenda mema siwezi jizuia mercy masika huyu Yesu

Mwema – siwezi jizuia kusema wako wema Wako mwana.mp3

Mwema – siwezi jizuia kusema wako wema Wako mwana.video.mp4 YouTube

 

Hits: 4

Leave a Reply

Related Post