MWEMA

Lyrics Of The Song MWEMA

Song ID 3819

wako mwana ukamtumaaa duniani kisa na maana nipate uzima jamani 2 ishara kwamba unanipenda hivyo nshaelewa sifa nitakupa zaidi 2 chorus nasiwezi jizuia kusema wako wema nasio kama najigamba umenitenda mema 2 umekuwa mwema kwangu umenitoa gizanii nlipokuwa nimeshikwa mateka ukanipa tumaniii kwako nkajificha sasa nitakupa niniii iwe sawa na yale umetenda hakuna ila moyoniii sifa nitakuimbia ilikugarimu msalambani unifieee hivyo inanibidi sifa nikuimbie eeeeeh wema wako niseme ili na wengine wakujue wote waungane nami na wazee ishirini na nne wacha niringe umekuwa mwema kwanguu oooh yahweh oooh kwanguu oooh umenitendea àaaah kwanguu eeeeh

MWEMA.mp3

MWEMA.video.mp4 YouTube

 

Hits: 9

Leave a Reply

Related Post