Ibada Lyrics ibada_lyrics Nikumbushe wema wako

Nikumbushe wema wako

Lyrics Of The Song Nikumbushe wema wako

Song ID 1090

ni rahisi kinywa kujawa na lawama tele it is easy for the mouth to be filled with blame pale mambo yanapoonekana hayaendi whenever things do not go to plan ni ajabu sana kama moyo unahaNgaika kutafuta majibu it is amazing how the hearts frets searching for answers ajabu sana moyo unavyoonyesha mashaka amazing how the heart shows doubt ya kwamba japo Mungu anaishi ndani yangu kuna muda nahofu even though God lives in me i am still afraid japo kuwa Mungu anaketi kati yetu kuna muda na hofu though God sits amongst us there is time that i doubt nakumbuka wana waisraeli katika bahari ya shamu i remember the israelits at the red sea japo walikatiza katikati ya bahari kwa ushindi though they passed in the middle in victory kwa nyimbo nyingi waliimba na kumsifu Bwana with many songs they sung in praise of the Lord lakini baada kuvuka na kuliiona jangwa yalibadilika mambo but after crossing and seeing the wilderness things changed manunguniko yalisimama murmurms started na kusahau miujiza alotenda Bwana mwanzo and forgetfulness on the miracles the Lord did at the beginning ee Mungu nisaidie oh God help me nikumbushe wema wako nisije laumu remind me of your goodness so i that do not blame nikumbushe ukuu wako wakati wa magumu remind me of your greatness in challenging times nikumbushe shuhuda zako ili nikusifu remind me of you testimonies that i might praise you niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozi to sing a song of praise in the midst of tears niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozi to sing a song of praise in the midst of tears repeat nisaidie kukumbuka baba ya kwamba umenichora kiganjani mwako Lord help me to remember that you have drawn me on your palm kati ya wengi waliopo duniani eh na mimi umeniona in the midst of many on earth you have seen me nikumbushe baba ya kwamba ni wewe umeniponya nilipoumwa remind me father that you healed me when i was ill ya kwamba ni wewe mlipaji wa ada yangu shuleni that it is you the payer of my school fees ya kwamba kama ungeniacha hatua moja nisingelifika nilipo that had you left me even in one step i would not have been here ee baba umekunguta mavumbi kunguta mavumbi mimi na kuniheshimisha oh father you have wiped my dust and honored me

Nikumbushe wema wako.mp3

Nikumbushe wema wako.video.mp4 YouTube

 

Hits: 2

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post