Ibada Lyrics ibada_lyrics Baba wa mbinguni nyosha mkono wako

Baba wa mbinguni nyosha mkono wako

Lyrics Of The Song Baba wa mbinguni nyosha mkono wako

Song ID 2658

baba wa mbinguni nyosha mkono wako watu wako waune wakishauona walisifu jina lako Mungu wetu wa mbinguni nyosha mkono wako watu wako waune wakishauona walisifu jina lako tunakuinua baba wa mayatima nyosha mkono wako watu wako waune wakishauona walisifu jina lako tunanyenyekea Mungu wetu wa mbinguni nyosha mkono wako watu wako waune walisifu walisifu jina lako tunakuhitaji Mungu wetu wa mbinguni nyosha mkono wako watu wako waune walisifu walisifu jina lako ni wewe twakuinua tunakuheshimu pst samwel baba nyosha mkono wako

Baba wa mbinguni nyosha mkono wako.mp3

Baba wa mbinguni nyosha mkono wako.video.mp4 YouTube

 

Hits: 7

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post